
IDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 3727 hii ni baada ya Wizara ya afya kuthibitisha maambukizi mapya 133 ya Covid-19 Covid-19.
Idadi ya waliopona imefikia 1286 baada ya watu wengine 33 kupona na kuondoka hospitalini.