
Kupitia kipindi cha Darasa cha +255 Global Radio kinachoruka kila siku za jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 10 hadi 11 jioni mwalimu Rodrick Nabe amezungumzia uaminifu kama kichocheo cha mauzo.
.
“Kujenga uaminifu ndio njia itakayofanya wateja wako kutaka kununua bidhaa yaako mara kwa mara,” alianza kusema Rodrick Nabe na kuendelea kusema “kuna baadhi ya vitu Fulani vinanunuliwa kwa sababu kuna uaminifu ambao umejengeka kwa hiyo bidhaa.”
.
Akichangia mada juu ya uaminifu, mgeni wa Darasa leo Juju Dafa alissistiza juu ya ubora na kusema kuwa ubora unaapopungua basi na uaminifu unapungua pia.
Jishindie Simu Janja (Smart Phone) kwa kutazama kipindi bora cha *DARASA LA SHIGONGO* kupitia Global TV Online, kinachorushwa kila siku, Jumatatu-Ijumaa *Saa10:00 hadi Saa11:00 jioni*. Cha kufanya ni rahisi;
Ingia Youtube Channel ya Global TV kisha, *Subscribe*, na *Bonyeza alama ya kengele 🔔* (Notification bell). Kipindi kinapokuwa hewani, ingia kwenye LIVE CHART kisha *comment* na uandike namba yako ya simu. Watu 100 wa kwanza wataingia kwenye droo ya kujishindia Simu kila wiki.
DARASA LA SHIGONGO NDIYO MPANGO
MZIMA, MJULISHE NA MWEZIYO