BILIONEA mwenye makazi yake Arusha, Saniniu Laizer, jana Jumatatu Juni 29, 2020 alifanya sherehe ya kujipongeza baada ya kulipwa mabilioni yake aliyoyapata hivi karibuni kufuatia kufanikiwa kwake kupata kiasi kikubwa cha madini ya Tanzanite huko Mererani.
Sherehe hizo zimefanyika nyumbani kwake, Manyara, Arusha.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx