×

JPM Ateua Wakurugenzi Wapya Same, Arusha na Mbeya

Rais Magufuli  Julai 4, 2020 amemteua Anastazia Tutuba kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Same akichukua nafasi ya Anna-Claire Shija

Pia, amemteua Saad Mutambule kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha akichukua nafasi ya Alvers Ndabagoye ambaye atapangiwa kazi nyingine

Elias Amede Ng’wanidako ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya baada ya James Kasusura kustaafu

Leave a Comment