Tigo yaongeza tahadhari kwa wateja wanaotembelea Banda lao SabaSaba
Global Publishers July 5, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
,
USALAMA KWANZA: Jinsi ambavyo #TigoSabasaba inachukua tahadhari mbalimbali uwapo ndani ya banda Ili kujikinga na maambukizi juu ya Covid-19 Tigo imechukua tahadhari mbalimbali ili uwepo katika banda la Tigo. Ni salama! Karibu ufurahie ofa na huduma msimu huu wa Tigo Sabasaba.