×

JPM Atoa Pole Msiba wa Balozi Lusinde

 

Rais  John Magufuli akizungumza na mke wa marehemu Balozi Job Lusinde, Mama Sara Lusinde (wa pili kushoto mwenye kilemba cheupe) alipokuwa akitoa  pole nyumbani kwa marehemu Uzunguni jijini Dodoma.
RAIS JohnMagufuli leo Alhamisi, Julai 9, 2020, amewatembelea na kuwapa pole wafiwa nyumbani kwa marehemu Balozi Job Lusinde, Uzunguni, jijini Dodoma.
 
Lusinde ambaye alikuwa waziri wa Mwl.  Nyerere alifariki alfajiri ya Julai 7, 2020, katika Hospitali ya Mloganzira Dar alikokuwa akipatiwa matibabu.

Leave a Comment