Rais Magufuli amteua Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania
Dkt. Kazi alikuwa Meneja Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni wa Benki Kuu ya Tanzania, BoT