
| POST | MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II – 4 POST |
| POST CATEGORY(S) | ACCOUNTING AND AUDITING |
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2020-07-06 2020-07-20 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandika na kutunza register zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii. Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha; iii. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu; iv. Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu Benki; v. Kufanya usuluhisho wa masurufu,karadha,Hesabu za Benki na Amana; vi. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo
kinachotambulika na Serikali au cheti cha ATEC level I kinachotolewa na NBAA, au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA. |
| REMUNERATION | TGS. B. |