×

Lukuvi Aibuka Kidedea Kura za Maoni Isimani

Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.

Lukuvi – 453
Kiyoyo – 16
Mwilinge – 5
Kidunye – 5
Kalinga – 4
Mfilinge – 4
Kushoka – 0
Chengula – 0
Gange – 0.

Leave a Comment