×

Zungu Ashinda Kura za Maoni CCM Ilala

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu, ameongoza kura za maoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jimbo la Ilala baada ya kupata kura 148 akifuatiwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo, Sophia Mjema, aliyepata kura 103.

Leave a Comment