
Rais wa TFF Wallace Karia atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamini Mkapa. Karia amesema soka la Tanzania litaendelea kumkumbuka kwa mengi ikiwemo kumbukumbu ya Uwanja wa Taifa aliyoliachia.
Karia amesema soka la Tanzania litaendelea kumkumbuka kwa mengi ikiwemo kumbukumbu ya Uwanja wa Taifa aliyoliachia.
