×

Video: Waziri Jafo Ataja Pengo Aliloacha Mkapa

Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo amefika nyumbani kwa Marehemu Benjamini William Mkapa Mikocheni Jijini Dar es Salaam kwaajili yakutoa pole kwa wafiwa ambapo ametaja pengo aliloacha katika shughuli za Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Octoba mwaka huu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment