Wananchi na Viongozi wanaendelea kuuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Uhuru. Kesho, Rais Magufuli ataongoza Viongozi wa Kimataifa na Kitaifa kuaga mwili huo.