Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameungana na baadhi ya Viongozi wa Tanzania pamoja na wageni kutoka nchi rafiki katika mazishi ya Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa yanayofanyika leo, huko Lupaso Mkoani Mtwara.