
MGOMBEA Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Joseph Maguful atachukua fomu ya kugombea Urais kesho Alhamisi tarehe 6 Agosti saa 3:00 Asubuhi Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jijini Dodoma.
