×

Waziri Mkuu Ashiriki Maziko ya Aliyekua Mtumishi wa Ofisi Yake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary washiriki maziko ya aliyekua mtumishi wa Ofisi Ya Waziri Mkuu, Joseph Ndonjekwa, yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Bunju Mabwepande, Jijini Dar Es Salaam, leo Agosti 5, 2020.

 

Leave a Comment