Baada ya Kusaini Simba, Sakata la Morrison Laanza Upya, Yanga Yatoa Tamko
Global Publishers August 8, 2020 4,664 views 0 Comments
SHARE THIS:
Baada timu ya Simba kutoa picha zikimwonyesha, Benard Morrison kumsajili, Uongozi wa Yanga umesema mchezaji huo ni mali yao na anamkataba wa miaka miwili.