×

Mahaba ya Mzee Yusuf na Mkewe Wakipafomu Dar Live – Video

IKIWA ni miaka kadhaa imepita akiwa nje ya sanaa ya muziki, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake la Jahazi Modern Taarab ameamua kurudi mjini na usiku wa kuamkia leo Agosti 8, ameangusha bonge la burudani katika uwanja wa taifa wa burudani (DAR LIVE) uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.

 

Shuhudia burudani la mwaka lilivyotikisa, vinanda, mauno, shangwe na sapraizi za kutosha kwenye Jukwaa la Dar Live.

Leave a Comment