BENDI ya muziki wa Injili, Christ’s Ambassadors wameachia video ya wimbo wao mpya uitwao AWAINUAYE wenye ujumbe mzuri wa kuitukuza kazi ya Mungu.
Ndani ya wimbo huo amezungumzia mengi ikiwemo kuwafariji wanaopitia mambo magumu, manyanyaso, masimango, kudharauliwa na kukashifiwa. Christ’s wanakwambia Mtegemee mungu kwa kila jambo kwani yeye ndiye kila kitu, huwanyanyua wanyonge na kuwaheshimisha waliodharauliwa.
TAZAMA NA SIKILIZA WIMBO HUU UBARIKIWE | SUBSCRIBE NA SHARE KWA WENGINE
