×

Prof. Lipumba Achukua Fomu Kugombea Urais

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Wananchi( CUF) Profesa Ibrahim Lipumba na mgombea mwenza, Hamida Abdallah Huweishi, leo Agosti 11, 2020, wamechukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), zilizopo Dodoma.

Lipumba na  Huaeshi wamekabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa NEC  Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage.

Leave a Comment