Global Publishers August 11, 2020 4,578 views 0 Comments
SHARE THIS:
ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu.