×

JPM Afanya Mabadiliko Wakuu wa Wilaya Wawili

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa Wakuu wa Wilaya wawili, ambapo amemhamisha Mkuu wa Wilaya Rorya, Simon Chacha,  kwenda Wilaya ya Chemba, Dodoma. Aidha, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Chemba, Simon Odunga, amekuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Mara.

Leave a Comment