Global Publishers August 15, 2020 4,678 views 0 Comments
SHARE THIS:
Uongozi wa Klabu ya Yanga unawaarifu wanachama, wapenzi na umma kwa ujumla kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Klabu hiyo, Robert Kabeya kwa sasa sio mfanyakazi wa Klabu hiyo.