CUF Yatangaza Wagombea Ubunge 136 Global Publishers August 24, 2020 0 Comments SHARE THIS: CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. SHARE THIS: