Global Publishers September 9, 2020 4,046 views 0 Comments
SHARE THIS:
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na kurejesha fomu yake leo ambapo ni mwisho wa zoezi hilo na wagombea wanatakiwa kuzirudisha kabla ya saa 10 jioni.