Msanii wa Bongo Fleva, Haitham Kim amefanya vizuri sana kwenye video ya wimbo wa ‘HelloMwari Remix’ aliyoshirikishwa na msanii kutoka Zimbabwe, Jah Master.