×

Video Mpya: Zuchu Ft Diamond Platnumz – Cheche

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Zuhura Othuman ‘Zuchu’, unaoitwa ‘Cheche’.

Video hiyo imetoka Septemba 17, 2020 mpaka sasa imefikisha views 1,157,753.

 

Leave a Comment