×

Video: Kipindi Cha Front Page Mubashara Kutoka Jaws Corner Zanzibar

LEO Septemba 18, 2020 kipindi Front Page kinachoruka kila siku Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia +255 Global Radio kimeruka kutoka katika kijiwe maarufu kiitwacho Jaws Corner ‘Stone Town’ Zanzibar wakifanya mahojiano na Ustadh JABIR FURSI  na ameelezea historia ya familia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. SALIM AHMED SALIM.

Kipindi hicho kimetangazwa na watangazaji wa kipindi hicho Malick Mansoor, First Lady Kissa Daniel na Lucas Masungwa.

 

Leave a Comment