Video: Rais Magufuli Ampokea Rais Ndayishimiye Wa Burundi Kigoma
Global Publishers September 19, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimoye leo Septemba 19, 2020 anafanya ziara siku moja nchini Tanzania leo Jumamosi Septemba 19, 2020 kwa mwaliko wa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli na amepokelewa katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.