‘Mzuka’ wa JPM Baada ya Kutua Dodoma Global Publishers September 22, 2020 0 Comments SHARE THIS: MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, akicheza juu ya gari lake baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya kampeni za CCM leo Jumanne, Septemba 22, 2020. SHARE THIS: