Muimbaji chipkizi wa Bongo Flavour ambaye ni Mshiriki wa Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV, Jackson Yusuph ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la #Fire. Wimbo huu unapatikana katika YouTube channel yake pamoja na Channel ya Global TV Online pita uusikilize https://youtu.be/lMdUCMMWaIU