×

Magufuli, Chakwera Wazungumzia Kushirikiana Kiuchumi

 

RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, anatarajiwa kukaa nchini  siku tatu ambapo atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Rais John Magufuli,  atatembelea bandari ya Dar es Salaam na  kuzindua stendi mpya ya kisasa ya mabasi  iliyopo Mbezi-Mwisho jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment