Yanga Yaipiga Polisi Tanzania Bao 1-0 Uwanja wa Uhuru
Global Publishers October 22, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.