Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Abbas Mayala, baada ya kukutana kwenye kivuko cha MV Kome wakielekea katika shughuli zao za kampeni kisiwani humo mapena leo.
View this post on Instagram
View this post on Instagram




