×

Morrison Afungiwa Mechi Tatu Ligi Kuu, Apigwa Faini

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi Juma Nyoso wa Ruvu Shooting wakati wa mchezo uliozikutanisha timu hizo.

Leave a Comment