Global Publishers October 30, 2020 4,042 views 0 Comments
SHARE THIS:
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa ndiye mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 194,833 na kumshinda Halima Mdee wa Chadema aliyepata kura 32,524.