Global Publishers November 11, 2020 4,026 views 0 Comments
SHARE THIS:
RAIS John Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden, na makamu wake Kamala Harris kwa kushinda katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo huku akiwahakikishia ushirikiano wa Tanzania na Marekani.