MWILI wa msanii maarufu wa Bongo Movies na mshereheshaji, marehemu MC Zipompa uliwasili nyumbani kwake, jana Alhamisi, Novemba 12, 2020, kutoka katika hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es Salaam ulipokuwa umehifadhiwa .
Marehemu ataagwa leo katika Viwanja vya Karimjee na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Zipompa alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda wa takribani siku saba.
View this post on Instagram
View this post on Instagram
View this post on Instagram
