×

Video: Tambo za Mashabiki wa Simba dhidi ya Plateau

Mashabiki wa klabu ya Simba wameonekana kufurika katika uwanja wa Mkapa jijini Dar, kushuhudia timu yao ikimenyana na klabu ya Plateau Unated kutoka Nigeria leo Desemba 5, katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika, kuwania kufuzu hatua ya awali.

Leave a Comment