
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo Desemba 8, 2020.