
MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kuendeleza shule ambayo wananchi walianza kuijenga kwa fedha zao wenyewe. Mhe. Shigongo amekabidhi mifuko 50 ya Saruji na kuwaambia wananchi kuwa wakifika kwenye lenta basi ataendelea kuwasaidia.