
Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesema watumishi wa halmashauri mpya ya Nzela hawataki kuhamia kwenye halmashauri hiyo, na badala yake wanatumia magari ya serikali kwenda majumbani kwao jambo ambalo linaleta usumbufu kwa wananchi.