GLOBAL Tv Online imekutana na mzee Sunday Manara, ambaye ni Baba mzazi wa msemaji machachari wa Simba SC, Haji Manara na kueleza historia ya familia yao katika soka na mafanikio waliyoyapata.
Pia amewatakia baraka tele Haji na Mkewe katika maisha yao mapya ya ndoa.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx