×

Bichuka: Mkongwe wa Sikinde Anayeshambuliwa na Maradhi, ‘Nisaidieni’

MWIMBAJI Mkongwe aliyeitumikia Bendi ya Sikinde kwa miaka mingi, Hassan Bichuka, ameeleza Watanzania kupitia Global TV Online kuwa maradhi aliyoyapata yamempelekea kushindwa kufanya kazi kwa miaka 3 na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu katika familia yake kwani hakuna kipato kinachoingia.

Leave a Comment