×

Sheikh Mwaipopo Ajitosa Kuwanusuru Watoto Yatima – Video

SHEHE Mwaipopo amejitosa na kuandaa Kongamano kubwa la funga mwaka kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima ambao wamekuwa wakiishi katika mazingira magumu na kukosa huduma muhimu kama watoto wengine.

 

“Duniani tunapita, tuwekeze kwa Mwenyezi Mungu, hakuna wa kutulipa, tuwaangalie yatima na Wajane, tunaweka hazina kwa Mwenyezi Mungu….’

 

Saidia kuchangia yatima hao kupitia M-Pesa namba 0755361906, jina Said Nestory Mwaipopo.

TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA

Leave a Comment