
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya nchini Ufaransa leo Desemba 24, 2020 imemfuta kazi Kocha, Thomas Tuchel kwasababu ya kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni
PSG inashika nafasi ya tatu katika Msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 35, kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Strasbourg jana