×

Majaliwa Amwakilisha Rais JPM Mazishi ya Askofu Banzi – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mazishi ya Baba Askofu Anthony Banzi wa Jimbo katoliki la Tanga, yaliyofanyika hii leo Jumanne, Desemba 29, 2020, kwenye kanisa la Mtakatifu Anthony wa Padua jijini Tanga.

 

Leave a Comment