×

Ole Gunnar Solskjaer Tunaweza Kumfunga Yeyote

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kuwa anaamini timu yake inaweza kuifunga timu yoyote kwa sasa.

 

Manchester United wamekuwa wakionesha kiwango cha juu kwa siku za hivi karibuni na sasa wanashika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu England.

 

Juzi timu hiyo ilifani-kiwa kuichapa Wolves bao 1-0 na kuendelea kufanya vizuri kwenye mich-ezo ya ligi hiyo ubingwa kwa sasa baada ya kucheza michezo 15.“

 

Haya matokeo ni bora sana kwetu, Man United kwa sasa ina morali ya hali ya juu na hicho ndicho kinasaidia.“Kwa sasa tupo tofauti, wachezaji wanaamini wanaweza kumfunga yeyote.“

 

Ni mapema sana kusema kuhusu ubingwa kwa kuwa tumecheza michezo 15 tu, ni jambo ambalo tunaweza kulifi kiria kuanzia Machi mwakani,” alisema Solskjae

Leave a Comment