×

Mondi Ataka Watoto 100

DAR: Kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kwamba Mungu aliwaagiza wanadamu wakaijaze dunia na hilo ndilo tamanio la staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

 

Imeelezwa kuwa, Diamond au Mondi anataka kulitendea haki andiko hilo kwani ana ndoto ya kuwa na watoto mia moja.

 

SOMA HABARI kwenye Gazeti la Ijumaa Jan-01,
Kwa nusu bei tu

Gazeti la Ijumaa👉http://bit.ly/3o8t0Fy

Gazeti la Championi👉https://bit.ly/3rDT9hT

Pakua App ya Global APP kupiti👇
iOS👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

Leave a Comment