×

FT: SIMBA SC vs FC PLATINUM ( 4-0 ) Aggregate 4-1, LIGI ya MABINGWA AFRIKA…


LEO NDIO LEO! Ndivyo unavyoweza kusema kwani wawakilishi pekee kutoka Tanzania kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, SIMBA SC, wameshuka katika dimba la Mkapa jijini Dar, kuvaana na FC Platinum ya Zimbabwe… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment